Psalms 12:3-5


3 a Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila
na kila ulimi uliojaa majivuno,

4 bule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”


5 c“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge
na kulia kwa uchungu kwa wahitaji,
nitainuka sasa,” asema Bwana.
“Nitawalinda kutokana na wale
wenye nia mbaya juu yao.”
Copyright information for SwhKC